Posts

Showing posts from March, 2017

BREAKING NEWZ TANZIA Mbunge Viti Maalum CHADEMA afariki dunia

Image
                                    BLOG NO 1 TANZANIA !! Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Viti Maalum (CHADEMA) akiwakilisha walemavu Dkt. Elly Macha amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Dkt Elly Macha (Enzi za uhai wake) Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene amethibitisha kutokea kwa kifo hicho, ambapo amesema mbunge huyo alikuwa akipatiwa matibabu mkoani Arusha. “Taarifa ni za kweli, mbunge Viti Maalum Dkt. Elly Macha amefariki, lakini sijapata bado taarifa za kina, lakini ninachojua ni kwamba amekuwa akipatiwa matibabu kwa muda mrefu Arusha” Amesema Makene

Bajeti ya Kenya ya mwaka 2017/2018 Yasomwa.....Ajira Sekta ya Umma Zasimamishwa

Image
                                                       BLOG NO 1 TANZANIA !! Bajeti ya Kenya ya mwaka 2017/2018, imesomwa jana kinyume na inavyosomwa kawaida mwezi Juni, kutokana na uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti mwaka huu, huku ikitangaza kusimamisha ajira katika sekta ya umma. Katika bajeti hiyo ya shilingi za Kenya trilioni 2.6 (Takriban shilingi trilioni 52 za Tanzania) Waziri wa Fedha, wa nchi hiyo, Henry Rotich ameondoa kodi kwenye mahindi yanayoagizwa kutoka nje kwa kipindi cha miezi minne ijayo, Aidha kodi imeondolewa kwenye dawa za kuulia wadudu za nchini humo pamoja na magari ya utalii yanayoundwa nchini Kenya. Katika bajeti hiyo ambayo ni ya mwisho kwa serikali ya Jubilee katika muhula wake wa kwanza, serikali imeongeza kodi kwenye kamari hadi 50% kutoka 7.5% ya awali kama njia ya kukomesha uchezaji kamari. Serikal...

Huyu Ndiye Mwakyembe Bwana..Soma Hapa Maneno Aliyompokea Nayo Nay a Mitego Baada ya Kufika Dodoma…Lazima Ucheke

Image
                                                     BLOG NO 1 TANZANIA !! Rapper Nay wa Mitego, Alhamis hii aliitikia wito wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe kukutana naye mjini Dodoma kwaajili ya kuzungumza namna ya kuuboresha wimbo wake Wapo ambao licha ya kuikosoa vikali serikali pamoja na Rais Dkt John Magufuli umepokelewa kwa mikono miwili. Hatua hiyo ilikuja baada ya Rais Magufuli kuamuru kuachiwa huru kwa Nay ambaye alikuwa amekamatwa na polisi na wimbo wake kufungiwa na BASATA. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma, Dkt Mwakyembe alisema wasanii wana nafasi kubwa katika kuisaidia serikali kukemea mambo maovu. Amewataka vijana kutambua kuwa Tanzania ni nchi inayozingatia utawala wa sheria na kwamba wana uhuru wa kukosoa bila kutukana au kwenda nje ya maadili. “Na ndio maana tukasema kw...

WAKENYA WATAMANI NYERERE ANGEKUA RAIS WAO

Image
                                                BLOG NO 1 TANZANIA !! Ujumbe wa Tume inayohamasisha Umoja na Mshikamano na kupambana na aina zote za utengano wa makabila kwa jamii ya watu wa Kenya ( National Cohesion and Integration Commission) umesema kuwa wanatamani kuiona Kenya inakuwa kama Tanzania ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliijenga katika misingi ya umoja na mshikamano. Wakiongea katika kikao kifupi baada ya ujumbe huo kufanya ziara katika Ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jijini Dar es Salaam, ujumbe huo haukusita kueleza hisia zao juu ya Tanzania na kueleza kuwa suala la Ukabila nchini Kenya bado lipo na ndio moja ya mambo ambayo wanashughulika nayo. “Tunatamani sana Kenya ingekuwa kama Tanzania, kwani Mwalimu aliijenga Tanzania kuwa taifa moja, tunawaonea wivu, Tanzania imejengwa kama Taifa sisi Kenya bad...

HEBU FAHAMU UNDANI HASA WA MGOGORO WA MALAWI NA TANZANIA JUU YA ZIWA NYASA

Image
                                                   BLOG NO 1 TANZANIA !! Je Unaufahamu Vizuri Mgogoro Uliopo Kati Ya Malawi Na Tanzania Juu Ya Ziwa Nyasa? Kama hauufahamu au huwa unausikia juujuu tu basi leo nakuletea kwa undani zaid i.

Mbowe Azua Jipya..Adai Bajeti ya Serikali Haitekeleziki..Wajiandaa Kuipinga Bungeni

Image
                                           BLOG NO 1 TANZANIA !! Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema wataipinga bungeni bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha wa 2017/18 kwani haina msaada wowote kwa wananchi wa hali ya chini na wanaamini fedha hizo hazitapatikana kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo. Mbowe amesisitiza mwaka jana wabunge wa kambi ya upinzani walieleza wazi kuwa bajeti ya mwaka huu isingetekelezeka na ndio kilichotokea kwani mpaka sasa asilimia 34 pekee ya pesa zote za maendeleo ndizo zimetolewa

Babu Tale Azidi Kumkaba Koo Waziri wa Utaliii….Auliza Hela ya Wizara ya Matangazo Inaenda Wapi

Image
                                     BLOG NO 1 TANZANIA !! March 26, 2017 kupitia mtandao wa Instagram Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale aliandika kuhusu Wizara ya Maliasili na Utalii kushindwa kuwatumia watu maarufu nchini kuutangaza utalii wa Tanzania akiwataja mwanasoka Mbwana Samata na mwanamuziki Diamond Platnumz kati ya watu wanaofanya vizuri kimataifa lakini hawapewi dili hizo. Alipotafutwa Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembealisema>>Wasanii wetu wenye majina makubwa watangaze tu Tanzania. Tanzania ni nchi yao sio lazima mpaka waambiwe waje tukae pamoja tupange mikakati na tuangalie ni kitu gani anaweza kufanya na watusaidie kutangaza utalii wetu.” Baada ya Babu Tale kusikia majibu ya Waziri Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe ameamua kutumia ukurasa wake wa...

Man United wamtengea dau la kutosha Lukaku, Sanchez atoa masharti ya kuendelea kukaa Arsenal....hizi hapa stori za Usajili magazeti ya Ulaya Alhamisi hii

Image
                                         BLOG NO 1 TANZANIA !! Klabu ya Manchester United ipo tayari kufanya usajili mkubwa majira ya kiangazi kwa kumnasa nyota wa Everton, Romelu Lukaku kwa dau la pauni mil 70. Kocha Jose Mourinho amekua na wakati mgumu kuhusu swala la washambuliaji kikosini kwake msimu huu kutokana na washambuliaji tegemezi kusumbuliwa na majeraha na wengine kutokua katika viwango vyao. Huku pia Zlatan Ibrahimovic akionekana kua tayari kuendelea kukaa na klabu hiyo msimu ujao, lakini kocha huyo Mreno anaonekana kuhitaji nguvu zaidi kujiimarisha. Hizi hapa habari nyingine kutoka magazeti ya leo Alhamisi Alexis Sanchez amedokeza kwamba ataendelea kukaa Arsenal endapo tu ataona kuna hali ya ushindi, mkataba wake wa sasa unaelekea ukingoni ambapo kuna hofu endapo atongeza tena. Liverpool nao katika kinyang'anyiro cha kunasa huduma ya Dele Alli. ...

Breaking Newzz…Mbunge wa Kilombero Mh.Lijualikali kupitia CHADEMA Aachiliwa huru

Image
                                                  BLOG NO 1 TANZANIA !! Mbunge wa Kilombero Lijualikali yuko huru baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kutengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero.

RC MAKONDA akutana na wanafunzi wa UDOM,wambana na kumuulizakuhusu vyeti FEKI,atoa MAJIBU HAYA

Image
BLOG NO 1 TANZANIA !!

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya March 30

Image
                                                     BLOG NO 1 TANZANIA !!

Mwakyembe: Huwezi Kuwa Hakimu wa Kesi Yako Mwenyewe…..Ripoti ya Uvamizi Clouds Media Inamapungufu, Sitaipeleka Ngazi za Juu

Image
                                           BLOG NO 1 TANZANIA !! Mwakyembe: Huwezi Kuwa Hakimu wa Kesi Yako Mwenyewe…..Ripoti ya Uvamizi Clouds Media Inamapungufu, Sitaipeleka Ngazi za Juu

Makonda: Zitto Amenisaidia Sana Kuelewa Siasa.

Image
                                         BLOG NO 1 TANZANIA !! Mkuu wa Mkoa wa Dsm, Paul Makonda akiwa kwenye interview amesema Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT) ndiye Mbunge anayemsaidia kuelewa siasa. Afafanua kuwa, Zitto anajua kujenga hoja za kuiyumbisha serikali hasa kwenye kusimamia mambo mbalimbali yenye maslahi ya kitaifa.

CCM IMEWAPITISHA HAWA KUWANIA NAFASI YA UBUNGE WA AFRICA MASHARIKI

Image
                                         BLOG NO 1 TANZANIA !! KAMATI KUU YA CCM TAIFA IMEWAPITISHA WAFUATAO KWENDA KUWANIA NAFASI YA UBUNGE WA AFRICA MASHARIKI: TANZANIA BARA: WANAUME.(4) 1.DR. NGWARU 2.ADAM KIMBISA 3.MACHA 4.MAKONGORO NYERERE WANAWAKE BARA(4) 1.ZAINABU KAWAWA 2.HAPPINESS LUGIKO 3.FANCY 4.HAPPINESS TANZANIA ZANZIBAR WANAWAKE (2) 1.MARIAM YAHYA 2.RABIA AMIN WANAUME (2) 1.ABDALAH MAKAME 2.MOHAMED NUHU

Hatimaye RC Makonda awasili Bungeni kuhojiwa juu ya utawala wake.

Image
                                         BLOG NO 1 TANZANIA !!

RADIO ZA TANZANIA ..ZAONGOZA KWA KUIGANA VIPINDI,WATANGAZAJI KUIGANA SAUTI

Image
                                         BLOG NO 1 TANZANIA !!

Kidume chafunga ndoa mbili wiki moja mmoja jumamosi mwingine jumapili hebu angalia ilivyokua!!

Image
                                        BLOG NO 1 TANZANIA !! Katika picha anaitwa Mr.Javan, ndiye mmiliki wa Golden J. ameoa juma lililopotawanawake 2 …mmoja Saturday mwingine Sunday.

MAKOPO YA COCA COLA YENYE SODA YABAINIKA KUWA NA KINYESI CHA BINADAMU

Image
                                               BLOG NO 1 TANZANIA !! Polisi wameanzisha uchunguzi wa kile kilichoonekana kuwa kinyesi cha binadamnu, kupatikana kwenye mikebe ya kujazwa soda iliyowasilishwa kwa kiwanda cha Coca Cola huko Ireland kaskazini.Shughuli za usiku katika kiwanda cha Lisburn zilivurugwa wiki iliyopita wakati mashinde  zilikwama.Kampuni hiyo ilisema kuwa kisa hicho hakikuathiri vinywaji vyovyote ambavyo kwa sasa viko sokoni.Polisi wanachunguza ripoti kuwa mikebe mingi huenda ilichafuka.Msemaji wa Coca-Cola amesema kuwa kampuni hiyo ilikuwa ikifahamu kisa hicho cha mikebe mitupu katika kiwanda cha Knockmore.”Tatizo hilo lilitambuliwa mara moja na bidhaa zote zilizoathirika kuzuiwa na haziwezi kuuzwa. Hiki ni kisa kilicho kando na hakiathiri biddaa zozote zilizo sokoni.”msemaji wa Coca Coa alisema.

Video: Ndege yawaka moto, 141 wanusurika

Image
                                               BLOG NO 1 TANZANIA !! Takribani abiria 141 wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuwaka moto. Ndege hiyo ya shirika la Peru, Peruvian Airlines ilishika moto ikiwa angani baada ya kutoka nje ya njia inayotumiwa na ndege kupaa na kutua ambapo Rubani wa ndege hiyo aliielekeza kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Jauja, katika milima ya Andes. Taarifa zilizotolewa na Shirika hilo la ndege zimesema wazima moto wamefanikiwa kuuzima moto huo na abiria wote waliokuwa ndani ya ndege hiyo wako salama.

Hakuna zawadi ya mpira kwa mchezaji atakayefunga hat-trick

Image
                                                    BLOG NO 1 TANZANIA !! Unguja. CHAMA cha soka cha Zanzibar,ZFA kimetangaza kuondoa zawadi ya mpira kwa mchezaji atayefunga mabao matatu ( Hat-trick) dhidi ya klabu ya Kimbuka FC inayoshiriki ligi kuu ya visiwani humo. Akitoa taarifa hiyo msemaji wa ZFA,Ally Bakari Cheupe amesema wameamua kuchukua uwamuzi huo baada ya Kimbuka FC kushindwa kuonyesha upinzani wowote kwenye ligi hiyo na badala yake kuonekana ipo tu kwa ajili ya kukamilisha ratiba na siyo kushindana. Tangu kuanza kwa ligi kuu Zanzibar Octoba 27 mwaka jana,Kimbuka FC iliyoko kanda ya Unguja imekuwa ikiburuza mkia kwani mpaka sasa imecheza michezo 27 na kuambulia pointi 5 pekee.

Arsenal yataja bei ya Sanchez

Image
                                                BLOG NO 1 TANZANIA !! London,England. ARSENAL imeripotiwa kuwa itahitaji kupata malipo ya £50m kama ada ya uhamisho ya Alexis Sanchez ikiwa staa huyo wa Chile ataendelea kugomea kusaini mkataba mpya na kuamua kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. Kwa mujibu habari kutoka gazeti la Uingereza la Evening Standard,Arsenal imeamua kutaja bei hiyo baada ya kuona kuwa kuna kila dalili kuwa imeshindwa vita ya kumshawishi staa huyo atulize akili yake na kusaini mkataba mpya Emirates. Katika siku za hivi karibuni Sanchez,28,aliyebakiza mwaka mmoja mkwenye mkataba wake wa sasa ,amekuwa kwenye msuguano mkali na Arsenal hasa baada ya kuomba kuongezewa mshahara kutoka £150,000 kwa wiki mpaka £230,000 ndipo akubali kusaini mkataba mpya.Ombi ambalo limepigwa chini na Arsenal na kuibua hofu kuwa huenda staa huyo ...

Wachimbaji Wadogo Wamwangukia Rais Magufuli

Image
                                            BLOG NO 1 TANZANIA !! Wachimbaji, wauzaji na wasafirishaji wadogo wa madini, wamemwomba Rais Dk. John Magufuli kuondoa zuio la kusafirisha mchanga wenye madini alilolitoa wiki iliyopita, baada ya kutembelea Bandari ya Dar es Salaam. Pia wachimbaji hao wamesikitishwa na hatua ya watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini, kumpotosha Rais kuwa makontena yaliyozuiwa bandarini yana mchanga wa dhahabu, badala ya mchanga wenye madini mengine, ikiwa ni pamoja na shaba, chuma, salfa, mercury na nickel. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kiongozi wa wachimbaji wa madini ya nickel kutoka Dodoma, Thobias Rweyemamu, alisema tangu Machi 2, mwaka huu walizuiwa kusafirisha mchanga na mawe jambo ambalo limewasababishia hasara kubwa. Alisema hata shughuli za uzalishaji katika maeneo ya machimbo zimesimama na k...

Nape Nnauye: Sina Mpango wa Kuhama CCM na Ntaendelea Kuwa Mtiifu Kwa Rais

Image
                                             BLOG NO 1 TANZANIA !! Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema ataendelea kuwa mtiifu kwa Rais John Magufuli, Serikali na Chama cha Mapinduzi tofauti na maneno yanayosemwa mitandaoni. Tangu alipoachwa kwenye mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Machi 23, kumekuwa na taarifa nyingi feki kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuenguliwa kwake zikidaiwa kutolewa na mbunge huyo wa Mtama ambazo hata hivyo, amekuwa akizikanusha. Akizungumza jana wakati akikabidhi ofisi kwa waziri mpya wa wizara hiyo, Dk Harrison Mwakyembe katika ofisi za wizara hiyo mjini hapa, bila kutaja maneno hayo ya mitandaoni, Nape alisema ataendelea kumuunga mkono Rais katika dhamira yake njema ya kuleta mageuzi nchini. “Heshima aliyonipa Rais ni kubwa mno na nitaendelea kumuunga mkono katika dhamira yake njema ...

Manji Anyoosha Mikono Juu,Kesi Yake Mahakamani Yafikia Hatua Hii

Image
                                               BLOG NO 1 TANZANIA !! Idara ya Uhamiaji imemwachia kwa dhamana mfanyabiashara, Yusuf Manji ikiwa ni siku chache baada ya kufungua maombi Mahakama Kuu akiomba amri ya kutaka idara hiyo iitwe mahakamani kueleza uhalali wa kumshikilia. Jana, mawakili wake, Alex Mgongolwa, Hudson Ndusyepo na Jeremiah Mtobyesa walidai mahakamani kuwa Manji alikuwa akishikiliwa. Hata hivyo, baada ya kupatiwa dhamana, Manji aliomba kuondoa maombi hayo aliyofungua dhidi ya Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu. Jaji Ama-Isario Munisi aliyekuwa akisikiliza maombi hayo aliamuru kuondolewa mahakamani maombi hayo baada ya Wakili wa Serikali Mkuu, ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka, Oswald Tibabyekoma kueleza kuwa hakuwa na pingamizi...

Malawi Yaichokonoa Tena Tanzania Kuhusu Ziwa Nyasa

Image
                                           BLOG NO 1 TANZANIA !! Rais wa Malawi, Peter Mutharika ameanza tena chokochoko baada ya kutangaza kuwa hakuna nchi ambayo inamiliki kwa pamoja Ziwa Nyasa na kwamba haijafikia makubaliano na nchi yoyote, hivyo ameahidi kulinda umiliki na masilahi yake. Kauli hiyo ni tofauti na mazungumzo ya Mutharika na Rais John Magufuli yaliyofanyika Januari 30 jijini Addis Ababa, Ethiopia wakati walipokuwa wakihudhuria kikao cha Umoja wa Afrika (AU). Katika taarifa iliyotolewa na Idara ya Mawasiliano ya Rais baada ya kikao hicho, ilisema marais wote wameridhishwa na jitihada zinazofanywa na jopo la usuluhishi lililoteuliwa na Umoja wa Maendeleo wa Nchi za Kusini mwa Afrika (Sadc). Jopo hilo linaongozwa na rais wa zamani wa Msumbiji, Joachim Chisano. Mkuu wa kitengo cha mawasiliano katika wizara ya   Mambo ya Nje na Ushirik...

Polisi Wanaodaiwa Kuiba Mafuta Ya Ndege Wafikishwa Mahakamani

Image
                                    BLOG NO 1 TANZANIA !! Askari  wawili wanaotuhumiwa kuiba mafuta ya ndege ya Kampuni ya ATCL, kwa kushirikiana na walinzi, wameondolewa kazini na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhujumu uchumi. Washtakiwa hao na wenzao wawili walipandishwa kizimbani jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Victoria Nongwa. Akisoma mashtaka Wakili wa Serikali Mwandamizi, Nassoro Katuga aliwataja washtakiwa hao kuwa ni Koplo Bahati Msilimini (33), PC Benaus (34), Iddi Nyangasa (42) na fundi wa ndege, Ramadhani Mwishehe (52). Katuga alidai washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka  mawili, shtaka la kwanza kula njama na shtaka la pili hujuma dhidi ya Serikali. Alidai katika shtaka la kwanza washtakiwa wanadaiwa kati ya Machi mosi na Machi 17 mwaka huu maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere waliku...