Posts

Showing posts from May, 2017

MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE MAY 19,2017

Image

N'GOLO KANTE MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA FWA ENGLAND

Image
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Soka England (FWA), Patrick Barclay (kushoto) akimkabidhi kiungo wa Chelsea, N'golo Kante tuzo ya Mchezaji Bora wa Msim usiku wa Alhamisi katika hoteli ya Landmark, London    WINNERS OF BOTH PFA AND FWA       AWARD IN SAME SEASON  1980: Terry McDermott            2003: Thierry Henry 1983: Kenny Dalglish                2004: Thierry Henry 1984: Ian Rush                          2007: Cristiano Ronaldo 1986: Gary Lineker                   2008: Cristiano Ronaldo 1987: Clive Allen                       2010: Wayne Rooney 1988: John Barnes                    2011: Robin van Persie 1998: Dennis Bergkamp ...

MASHABIKI WA MBAO NA SIMBA HEBU MSIKIENI MANJI ANACHOSEMA!! HUYU SI MTU MZURI HATA KIDOGO TENA HAFAI !!!

Image
YANGA ni kama vile tayari imeshawanyamazisha watani wao Simba kwa hatua ya kutangaza ubingwa rasmi Jumanne lakini kuelekea kumaliza mechi mbili za mwisho, mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuph Manji amewatia mzuka wachezaji akiwapa ahadi nono. Taarifa kutoka ndani ya kikosi cha Yanga ni kwamba Manji amewataka wachezaji wa timu hiyo kupambana kwa nguvu katika kumalizia Ligi huku akiwataka kuhakikisha wanashinda mpaka mchezo wa mwisho dhidi ya Mbao,  kesho Jumamosi Mei 20 pale CCM Kirumba jijini Mwanza. Katika taarifa yake hiyo, Manji anaelezwa amewapa ahadi kubwa wachezaji wa timu hiyo kwamba anataka kumaliza tatizo lao la mishahara huku akiwapa ahadi nyingine ambayo imewatia mzuka zaidi. “Mwenyekiti yupo pamoja na timu ila hataki kufanya mambo yake kwa mazoea, ameongea na wachezaji na hivi karibuni amewaambia hakuna kitu kitakachopotea katika haki zao, mishahara yao watapatiwa na mambo yote,” alisema bosi huyo. “Unajua wachezaji wetu walivyo kama wasingekuwa wamepewa pochi halisi ya m...

KABURU ATHIBITISHA MO, POPPE HAWANA KINYONGO TENA... asema sasa ni "Nguvu Moja" kuziua Mwadui FC na Mbao

Image
KAULI mbiu ya klabu ya Simba ni maeneo mawili mazito lakini yanayoonekana ni yenye maana kubwa katika maisha ya watu wanaotamani kupata mafanikio, “Nguvu Moja.” Maneno haya yametumika katika vikao viwili tofauti ndani ya siku tatu, kikao kimoja kikiwa ni cha wajumbe wa Kamati ya Utendaji dhidi wa wajumbe wenzao, kapteni Zakaria Hans Poppe ambaye alikuwa ametangaza kujiuzulu nafsi zake zote katika klabu hiyo. Kamanda huyo wa zamani wa jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania alikuwa amekerwa na kitendo cha viongozi wenzake katika Simba kuingia mkataba wenye thamani ya sh bil 4.9 na kampuni ya Sportpesa ya Kenya. Inadaiwa kuwa Hans Poppe alikuwa akipinga Simba kuingia mkataba huo bila kuujadili kwa kina, lakini pia bila kumshirikisha mwanachama mwenzao anayeisaidia Simba kwa hali na mali, “Mohammed Dewji” “MO”. Lakini kikao cha siku moja baina ya viongozi na Poppe kikamaliza udhia na mwenyekiti huyo wa kamati ya usajili akatengua uamuzi wake na kurejea kazini. Baada ya kikao hicho ...

Zitto afunguka makubwa kuhusu kifo cha mwenyekiti wa ccm kibiti

Image
Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Zuberi Kabwe amefungukia juu ya Mauaji yanayoendelea mkoani Pwani na kudai maeneo matatu ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji hatajawahi kupatiwa majibu ikiwa ni mtu wa 31 akiwa ameuawa juzi usiku   Zitto amefunguka hayo baada ya Taarifa za kifo cha Mwenyekiti wa CCM Tawi la Njia Nne katika Kijiji cha Muyuyu Wilayani Kibiti, Iddy Kirungi,  kuthibitishwa kwa mwenyekiti huyo ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana. "Eneo la #MKIRU ( Mkuranga, Kibiti, Rufiji) halijapata jawabu la kudumu, Huyu mtu wa 31 kuuwawa eneo Hilo"  Akithibitisha kutokea kwa mauaji hayo Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Juma Njwayo,ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rufiji na kusema  kwamba, marehemu alipigwa risasi akiwa nyumbani kwake wakati akijaribu kukimbia. Bw. Njwayo amesema, kabla ya kuuawa kwa Mwenyekiti huyo, pia wauaji hao walianza kumjeruhi kwa kumpiga risasi ya tumboni mtoto wa marehemu aliyetajwa kwa jina la Nurdin Iddy Kiru...

MAGAZETI YA LEO TZ NA NJE MAY 18,2017

Image

BREAKING NEWS: MAUWAJI MENGINE YA KIONGOZI WA CCM KIBITI

Image
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Juma Njwayo,ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rufiji amethibitisha kutokea mauaji hayo. By Azory Gwanda Kibiti. Mwenyekiti wa CCM tawi la Njia nne Iddy Kirungi liliopo katika kijiji cha Muyuyu kata ya Mtunda wilayani hapa ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake. Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Juma Njwayo,ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Rufiji amethibitisha kutokea mauaji hayo. Amesema marehemu alipigwa risasi akiwa kwake wakati akijaribu kukimbia. Njwayo amesema kabla ya kuuawa kwa mwenyekiti huyo, pia wauaji hao walianza kumjeruhi kwa kumpiga risasi ya tumboni mtoto wa marehemu aliyetajwa kwa jina la Nurdin Iddy Kirungi. Mganga wa zamu katika kituo cha afya Ikwiriri, Dk Rashid Omar alisema walimpokea Nurdin akiwa na jeraha kubwa tumboni mwake ambalo halikutokeza upande wa pili. Alisema majeruhi huyo walimpatia rufaa kwenda Hospital ya Mchukwi kutokana na kuwa anavuja damu nyingi sana.

Msichana wa miaka kumi aruhusiwa kutoa mimba

Image
Msichana mjamzito. Jopo la madaktari nchini India limekubali kutoa mimba ya msichana wa umri wa miaka 10, ambaye ni muathiriwa wa ubakaji baada ya mahakama kuamuru hatua hiyo ichukuliwe. Msichana huyo anatoka mji wa Rohtak, jimbo la Haryana, kaskazini mwa nchi hiyo. Dk Ashok Chauhan ameviambia vyombo vya habari kuwa hatua hiyo sasa inaweza  kuchukuliwa wakati wowote. Mamlaka nchini India zimesema msichana huyo alipata ujauzito karibu miezi mitano  iliyopita baada ya kubakwa na baba wa kambo, kitendo kinachoaminika kufanyika mara kadhaa. Kwa mujibu wa gazeti la India Times, polisi wamesema kuwa mtu huyo tayari amekamatwa. Sheria nchini India haziruhusu utoaji mimba kwa wanawake wajawazito baada ya wiki 20  bila ya idhini ya madaktari. Inahofiwa kwamba hatua kama hiyo inaweka maisha ya mwanamke hatarini. Mahakama moja nchini India iliamuru kwamba madaktari wanaweza kutoa mimba ya msichana huyo. Kupata mimba kw...

Utata waibuka kuhusu kifo cha mtuhumiwa wa mauaji!

Image
KAMANDA WA POLISI MKOA WA KASKAZINI PEMBA, HAJI KHAMISI HAJI. MTUHUMIWA  anayedaiwa kumuua mwanawe kisiwani Pemba alifariki dunia juzi katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi. Mtuhumiwa huyo, marehemu Riziki Juma aliyekuwa mkazi wa Wingwi wilaya ya Micheweni, Pemba alikuwa akidaiwa kumuua mwanawe mchanga pindi baada ya kujifungua Alhamisi iliyopita. Kufuatia tukio hilo, polisi mkoa wa kaskazini Pemba ilikuwa inawashikilia watu watatu, akiwemo marehemu Riziki ambaye ndiye mama mzazi, baba wa mtoto na mzazi wa kike wa baba huyo. Wakati Jeshi la Polisi likisema mtuhumiwa huyo alifariki akiwa hospitalini, daktari aliyempokea hospitalini aliiambia Nipashe kuwa alipompokea kutoka mikononi mwa polisi akiwa ameshafariki dunia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Haji Khamisi Haji alisema waliamua kumpelaka mtuhumiwa huyo hospitali baada ya kusema kuwa anaumwa na anahitaji kupatiwa matibabu. Hata hivyo, daktari aliyemfanyanyia uchunguzi marehemu huyo, D...

Kilichomng'oa Jaji Upendo Msuya hiki hapa

Image
Jaji Mohamed Chande Othman akimpa mkono wa pole Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Jaji Upendo H. Msuya apokuwa amefiwa na mwanaye aliyekuwa nchini Malaysia. (picha na Mary Gwera, MAHAKAMA YA TANZANIA

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya May 17

Image
                   

Mtoto atekwa, akutwa hana macho, ulimi na meno mawili

Image
Mtoto Felister Isack Skali(7) (pichani, ambaye alikuwa mwanafunzi wa chekechea katika Shule ya msingi Mwagala Mbuyuni Wilaya ya Songwe Mkoa wa Songwe aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha tangu mei 11 mwaka huu, mwili wake umekutwa porini ukiwa hauna baadhi ya viungo kama ulimi, macho na meno mawili ya chini. Akithibitisha kupatikana kwa mwili wa marehemu Afisa Mtendaji wa kijiji cha Mbuyuni Athanas Hamis amesema alipata taarifa kutoka kwa wachungaji wa mifugo ambapo alifika eneo la tukio jioni na wanachi kulazimika kulinda mwili hadi asubuhi walipofika askari Polisi wa kituo cha Galula na Daktari na kuufanyia uchunguzi mwili wa marehemu kisha mazishi kufanyika jana. Tukio hilo ni la kwanza kutokea katika kijiji cha Mbuyuni ambalo linahusishwa na imani za kishirikina.

Maajabu Jijini Mwanza: Mti Wagoma Kung'olewa......Ilikuwa Kila Ukikatwa Unalia Kwa Sauti Kupinga Kung'olewa

Image
Wakazi wa Barabara ya Iloganzala  Jijini Mwanza jana walipigwa butwaa baada ya mti kutoa sauti kama binadamu ukipinga using'olewe. 

Mkuu wa Mkoa Meck Sadiki na Majaji wawili Waandika barua kuacha kazi .......Rais Magufuli Aridhia

Image
Ikulu, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi wafuatao;

Ofisa wa Polisi mwingine auawa Kinyerezi

Image
                                          Kamanda wa Po lisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni 

UKATILI: BITI AJIFUNGUA KICHANGA NA KUKINYONGA KISHA KUKIZIKA

Image
KAGERA : Katika hali isiyokuwa ya kawaida Binti mmoja anayeishi mtaa wa Ntungamo Kata ya Buhembe, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Latifa Vedasto anadaiwa kumnyonga mtoto wake aliyejifungua siku tatu zilizopita na kisha kumzika

VIDEO | Lady Fire - OyoYoo | Watch/Download

Image

AUDIO | The Brainners (Kiubama & Yerusalem) - Pesa Ya Madafu_Cover | Download

Image
 

NAJUA UNAJUA ILA NAJUA HILI HUJUI ACHA NIKUJUZE WANYAMA WA AJABU DUNIANI AMBAO HUJAWAHI KUWAONA

Image

WATUMIAJI WA MTANDAO ANGALIA AINA MPYA YA VIRUS INAYOTESA DUNIA IKIPATA CM AU COMPUTER YAKO KWISHA KAZI...

Image
Shambulizi la kihalifu mitandaoni lililotendeka kupitia vifaa vinavyoaminika kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri mashirika tofauti duniani.

BALAA KUBWA MSIMBAZI: MO ATAKA SIMBA IMLIPE BILIONI 1.4 PATA HABARI KWA UNDANI HAPA!!

Image
Siku moja baada ya Simba kutiliana saini mkataba wa udhamini na kampuni ya SportPesa, mdau wa klabu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ anataka kulipwa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 za Tanzania kutokana na viongozi wa Simba kukiuka makubaliano.

Matokeo ya mechi za jana na siri ya Arsenal ya kutoa vipigo vya Mbwa mwizi

Image

MAGAZETI YA TANZANIA NA MAGAZETI YA UK LEO JUMAPILI MAY 14,2017

Image

MWAKYEMBE ASEMA MITANDAO NI HATARI KWA TANZANIA ASEMA ISIPODHIBITIWA MAPEMA ITASABABISHA.......

Image
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amesema watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania ni wengi sana hivyo mitandao hiyo kama haitadhibitiwa mapema huenda ikaleta matatizo katika nchi.

Lowassa Alaani Kongamano la demokrasia Kuzuiwa

Image
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema na aliyekuwa Waziri Mkuu, Mh. Edward Lowassa amelaani vikali kitendo cha serikali ya Mkoa wa Dar es salam kuzuia kongamano la demokrasia lililopangwa kufanyika siku ya jana may 13, Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.

ACT watangaza mrithi wa Kitila Mkumbo

Image
Chama Cha ACT- Wazalendo leo kimemtangaza rasmi Mwanasheria Albert Msando kuwa mrithi wa nafasi ya Mshauri Mkuu wa Chama hicho iliyoachwa wazi na Prof Kitila Mkumbo aliyeteuliwa na Rais Magufuli kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji.

Mwanafunzi Udom Akutwa na Misokoto 826 ya Bangi

Image
 Jeshi la polisi mkoani Dodoma linawashikilia watu wawili kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya bangi akiwamo mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) Nelson Matee (24) ambaye ni mwanafunzi wa kozi ya uuguzi mwaka wa nne.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya May 13

Image

Mbunge Australia anyonyesha mtoto bungeni

Image
Senator kutoka jimbo la Queensland nchini Australia, Larissa Waters, ameweka historia bungeni hapo alipomleta kazini na kumnyonyesha mwanaye wa miezi miwili ikiwa ni mara ya kwanza na hivyo kutengeneza historia hiyo nchini humo.

New Video: Left Hollywood – Meek Mill

Image
Rapa Meek Mill wa kutokea Marekani akiwa chini ya kampuni yake ya Meekend Music banger, ameachia video yake mpya iitwayo “Lefy Hollywood”. Video hiyo ya Mill imeshootiwa maeneo ya Philadelphia, ikiwa ni mji Meek anaouita nyumbani.

LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 10, 2017

Image
Fuatilia hapa matangazo hayo moja kwa moja ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mjini Dodoma katika Mkutano wa saba leo Mei 10, 2017 muda huu. Bofya hapa kutazama

UKWELI MCHUNGU WENYE KUUMA DHIDI YA SERIKALI KWENYE SAKATA LA VYETI FAKE

Image
Na Dr  Christopher Cyrilo Fikra zingine zinatanabaisha kuwa serikali imetumia kigezo cha vyeti kama ajenda ya kupunguza wafanyakazi, huku vyeti feki imekuwa kisingizio tu. Yaani kwamba, serikali imeona inatumia pesa nyingi kulipa mishahara, kwa hiyo kama ingewapunguza kwa kufuata utaratibu wa 'redundance' pia ingetakiwa kuwalipa, ndipo kukaibuka zoezi la vyeti feki. Hoja hiyo inaweza kuwa na nguvu kwa sababu kuu nne. 1. Wanaoitwa viongozi wa kisiasa hawajakaguliwa. Kwa sababu nafasi zao zipo moja moja haingewezekana kupunguzwa. Mkuu wa mkoa au wilaya lazima awepo. Haiwezekani mkoa au wilaya isiwe na mkuu. Kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuwakagua hawa ilihali ni lazima wawepo. Haingewezekana kupunguza wakuu wa wilaya. Lakini Daktari, nesi, Mwalimu, na wengineo wakifukuzwa watabaki wachache wataendelea. 2. Sababu ya pili ya kukoleza hoja ya kwamba lengo la serikali ni kupunguza wafanyakazi na sio kurudisha heshima ya elimu ni kama inafanana na ya kwanza. Polisi na jeshi la...

Trump amwachisha kazi mkurugenzi wa FBI

Image
Aliyekuwa mkurugenzi wa FBI James Comey. Mkurugenzi wa idara ya upelelezi wa makosa ya jinai, Marekani (FBI) ameachishwa kazi siku ya Jumanne na rais Donald Trump. Taarifa kutoka ikulu imesema Trump alichukua hatua hiyo baada ya kupata ushauri kutoka kwa mwanasheria mkuu, Jeff Session na naibu wake, Rod Rosenstein. "Leo rais Donald Trump amemjulisha mkurugenzi wa FBI James Comey kwamba ameachishwa kazi na kuondolewa madarakani," ilisema taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na msemaji wa ikulu, Sean Spicer Jumanne jioni. Taarifa hiyo ileleza kuwa shughuli za kumtafuta mkurugenzi mpya wa idara hiyo zilikuwa zimeshaanza. Kuachishwa kazi kwa Comey kulipokelewa kwa mshangao na baadhi ya wabunge na maseneta. Wiki jana, Comey alihojiwa na kamati ya seneti kuhusu tuhuma kwamba huenda Russia iliingilia kuvuruga uchaguzi wa Marekani wa Novemba mwaka uliopita. Aidha mkurugenzi huyo wa zamani amekuwa akikabiliwa na tuhuma kwamba uamuzi wake wa k...

MAGAZETI YA TANZANIA &MAGAZETI YA ULAYA LEO JUMATANO MAY 10,2017

Image

BREAKING NEWS: ARUSHA YAZIDI KUKUMBWA NA MAJANGA, TAZAMA AJALI NYINGINE HII HAPA YAUA WATANO HAPOHAPO...soma zaidi hapa...

Image
MKOA wa Arusha Umeendelea Kukumbwa na baa la Ajali ,ambapo ikiwa haijakatika hata wiki toka ajali ya basi la shule kuua wanafunzi 36,leo hii kumetokea ajali nyingine ya nyumba kuangushwa na mti uliokuwa unasombwa na maji mengi,hali iliyopelekea vifo vya watu 5 na wawili kujeruhiwa. Taarifa zilizotufiki hivi punde kutoka Jijini Arusha ,Zinasema kuwa mti huo uliseleleshwa na maji kwa umbali wa mita mia kabla ya kufikia nyumba hiyo na kusababisha watu waliokuwa ndani ya nyumba hiyo kupata ajali hiyo.

*BREAKING NEWSSSS* AJALI MBAYA YATOKEA ASUBUHI HII KAHAMA BASI LAGONGANA NA COSTA

Image
AJALI MBAYA IMETOKEA ASUBUHI HII SHINYANGA ENEO LA KIZUMBI MBUYUNI KWENYE KONA....BASI LA ALLYS TOKA MWANZA LIMEGONGANA NA COSTA YA ISANZU TOKA KAHAMA

ushawahi kusikia kisiwa ambacho wanawake hawaruhusiwi kufika na wakifika wana.....

Image
Jopo moja la ushauri limependekeza kisiwa kimoja nchini Japan, ambapo wanawake hawaruhusiwi kufika, kitambuliwe kama turathi ya ulimwengu. Kisiwa hicho cha Okinoshima huchukuliwa kuwa kitakatifu kaisi kwamba ni wanaume pekee wanaoruhusiwa kuzuru, gazeti la Asahi Shimbun linasema. Na hata wanapofika huko, hawaruhusiwi kuondoka na chochote, hata kipande cha nyasi. Jopo hilo limependekeza Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) litambue kisiwa hicho kama turathi ya ulimwengu. Uamuzi unatarajiwa kufanywa katika mkutano wa Unesco mwezi Julai. Katika kisiwa hicho, kuna madhabahu ya Munakata Taisha Okitsumiya, ambayo ni ya kumtukuza miungu wa baharini. Katika kisiwa cha Okinoshima, kuliandaliwa matambiko kwa ajili ya usalama wa meli na pia wakazi wa Japan walitumia kisiwa hicho kuwasiliana na wakazi wa rasi ya Korea na China kati ya karne ya nne na tisa, gazeti la Japan Times linasema. Bado kuna miiko kuhusu kisiwa hicho, mfano wanawake kupigw...

MSUVA: NITAHAKIKISHA YANGA INATETEA UBINGWA WA LIGI KUU BARA KWANZA

Image
KINARA wa ufungaji wa klabu ya Yanga Simon Msuva amesema kuwa kipaumbele kikubwa kwake ni kuhakikisha Yanga inatetea Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na sio kuwaza mafanikio binafsi. Msuva ambaye ni kinara wa ufungaji katika klabu yake ya Yanga ambapo kabla ya mchezo na Prison alikuwa na mabao 12

HII NDIO NJIA PEKEE YA KUIZUIA CHELSEA ISICHUKUE UBINGWA

Image
Tony Pulis, kocha wa West Bromwich Albion, ambayo itaikaribisha Chelsea Ijumaa ijayo, alikuwepo Stamford Bridge kuangalia Middlesbrough ikishushwa daraja na vijana wa Antonio Conte.  Kipo alichojifunza? Pengine kikubwa atakachokifanya ni kuichelewesha tu Chelsea kutangaza ubingwa Premier League mapema, lakini ni wazi kuwa miamba hiyo ya London haizuiliki tena. Chelsea inahitaji pointi tatu tu katika michezo mitatu iliyobakisha huku ikicheza mechi zake mbili za mwisho kwenye uwanja wa nyumbani. Anazuilika vipi? ni "UCHAWI" pekee

Wafanyakazi Wenye Vyeti Vya Kughushi Hospitali ya Taifa Muhimbili

Image
Wafanyakazi Wenye Vyeti Vya Kughushi Hospitali ya Taifa Muhimbili 

SOMA MAGAZETI YA TANZANIA NA YA ULAYA LEO MAY 9,2017

Image